PILLPOINTONE streamlines your workflow, automates your inventory, and maximizes your profits with powerful, easy-to-use tools.
Active Stores
Products Managed
Server Uptime
Expert Support
No more manual tracking. Get full visibility into your operations from anywhere, anytime.
Mauzo ya haraka, risiti za kielektroniki, na mauzo ya mikopo au awamu (Installments) kwa urahisi.
Kufuatilia dawa zilizoisha au kukaribia kuisha muda wake (Expiry dates) na kuhamisha stock kati ya matawi.
Kujua faida halisi (Gross & Net profit) kila siku, ripoti za mauzo na hesabu za stoo kwa PDF na Excel.
Mfumo unarekodi kila kitu kinachofanywa na wafanyakazi wako. Hakuna dawa au mauzo yatakayofutwa bila wewe kujua.
Taarifa za moja kwa moja za malipo na mikataba kwenda kwa wamiliki au wateja kupitia simu zao.
Transparent, flexible pricing for pharmacies of all sizes.
Quick answers to common questions about PILLPOINTONE.
Join 500+ successful pharmacies already using PILLPOINTONE today.